007 De Souza
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 901
- 486
Mwalimu alisema laiti jana ingekuwa kesho, leo ingekuwa ijumaa
Je? mwalimu alisema hayo maneno siku gani?
jumatano kwel?
Mwalimu alisema laiti jana ingekuwa kesho, leo ingekuwa ijumaa
Je? mwalimu alisema hayo maneno siku gani?
Aliongea juzi...!! Kama leo ingekuwa kesho