Kwa Watanzania waishio Marekani

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
98,019
Reaction score
142,905
Zimebaki siku 10 [kama sijakosea] mpaka kufika ile siku ya siku, yaani ile siku ya “maandamano” dhidi ya Rais Magufuli.

Maandamano ambayo kwa ufahamu wangu yamepangwa kufanyika kitaifa na kimataifa [kwa Watanzania waliopo Ughaibuni].

Nakumbuka ililetwa taarifa humu kwamba kutakuwepo pia na maandamano nje ya nchi ambayo Watanzania waishio huko watashiriki.

Moja ya hizo nchi za nje ni Marekani. Watanzania waliopo Marekani watajikusanya na kwenda kuandamana huko Washington D.C.

Sina uhakika yatafanyika katika sehemu zipi huko D.C. lakini nadhani moja ya sehemu ni mbele/ nje ya ubalozi wa Tanzania na labda mbele ya White House.

Sasa ningependa kujua kama hayo maandamano ya huko Marekani bado yapo.

Kama yapo, yapo siku gani hasa. Tarehe 25 au 26?

Yatafanyikia wapi hasa? Mtaa, kiunga/ viunga?

Muda gani? Mratibu wake ni nani?

Watu watakutania wapi? Na kadhalika.

Kwa ufupi ningependa kupata taarifa zaidi.

Yakiwepo nami nitaenda na bango langu.

Mzee Mwanakijiji Kiranga Bufa na wengineo wabeba boksi nyie mnazo taarifa zaidi za hayo maandamano?

USA baby [emoji631] [emoji631][emoji631][emoji631][emoji631]
 
Ila bila serekali ya awamu ya tano kutoa ufafanuzi wenye mashiko juu ya 1.5trillion , ziko wapi na zimetumika vipi, na zilipitia taratibu gan! ... Nitakuja na bango ...Na nitakuwa front fod
 
Ila bila serekali ya awamu ya tano kutoa ufafanuzi wenye maiko yuu ya 1.5trillion , ziko wapi na zimetumika vipi, na zilipitia taratibu gan ... Nitakuja na bango ...Na nitakuwa front fod

Utaenda kuandamana wapi? D.C.?
 
Ulitaka ukaandamane nje ya nchi nawe? wewe si ni wakunyumba lakini? Iwe mwana lafidhi yako mbona ni ya sisiemu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…