Kwa watalaam wa picha.

Kwa watalaam wa picha.

daraja la kigamboni

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2016
Posts
3,355
Reaction score
3,248
Naomba kujua free program ya kutengezea passport size picture zenye size ndogo e.g 4Kb.
 
Naomba kujua free program ya kutengezea passport size picture zenye size ndogo e.g 4Kb.
Ziko nyingi, ila waweza weka moja kati ya hizi mbili, na utaweza kupunguza ukubwa wa picha na kufikia 4kb
- irfanview , iwe na plugin yake
- Adobe photoshop
 
Ziko nyingi, ila waweza weka moja kati ya hizi mbili, na utaweza kupunguza ukubwa wa picha na kufikia 4kb
- irfanview , iwe na plugin yake
- Adobe photoshop
Asante. Hiyo Adobe Photoshop inahitaji shule kidogo.ngoja nijaribu hyo nyngine
 
Back
Top Bottom