Kwa wataalamu wa masuala ya simu na tv

Kwa wataalamu wa masuala ya simu na tv

Joined
Jul 25, 2012
Posts
29
Reaction score
2
Habari zenu wakuu,
Nina mambo mawili hapa:
1. Nina mjomba wangu mmoja hapa dar ana guest house yake ina rooms kama 20 hivi na anataka kufunga simu kila chumba zile zisizo hela (vocha) ili kuwasiliana ni kama radiocall vile sijuwi, sasa anahitaji kujuwa wapi atawapata watu wanao husika na kazi hizi kwa dar na gharama zitakuwa kiasi gani.

2. Pia katika kila chumba tayari kuna tv lakini anahitaji kila tv iwe inaonesha channel nyingi kama zile za startimes au dstv, swali hapa ni kwamba anaweza akatumia decoder moja kwa tv zote za vyumbani au anahitaji kufunga kila chumba decoder yake kiasi kwamba kila mgeni awe ana uwezo wa kujibadilishia channel peke yake.

Natanguliza shukrani zangu na karibuni kwa mawazo yenu.
 
Hizo ndo kazi zetu mkuu hembu piga namba hii 0715870086
 
sawa mkuu twatwatwa ni kazi yako ila ungetoa japo kaufafanuzi au maelezo kidogo tuuu juu ya ni vipi inafanyika mfano kwenye tv je kila chumba kitakuwa na decoder yake au??? Na juu ya sim japo hat inrto tuuu???
 
sawa kabisa ili atakitaka kufanya hivo vitu mwengine anafanya kwa kujua nini kinatakiwa..
 
Kuweka kila chumba dekoda gharama yake ni kubwa. Kitu kinachotakiwa kwa gest ni kuweka dekoda na risiva sehemu moja kisha unasambaza kebo kwenye vyumba vyako hata vikiwa mia. idadi ya chaneli ni matakwa ya mwenye gesti unaweza anzia hata chanel 6 .hapo kila mteja anabadisha mwenyewe chumbani. Kuhusu simu kuna mitambo inauzwa inategemea na idadi ya vyumba vyako hata kama vyumba viwe 600 kila chumba kinakua na simu yake ya mezani (kama ile ya ttcl) ambayo mteja ataitumia kupiga .jikoni. Bar.mapokezi. Na hata chumba cha mteja mwenzie .pia mteja aweza pokea simu za nje akiwa chumbani kwake. Mmenisoma ?
 
Nimekupata mkuu, muda wowote kesho 08/11/2012 nitakupigia.
 
Back
Top Bottom