Kwa wataalamu wa kufunga madishi na FTA

Kwa wataalamu wa kufunga madishi na FTA

mfianchi

Platinum Member
Joined
Jul 1, 2009
Posts
12,334
Reaction score
9,294
Naona kipato changu kulipia ving'amuzi kinakula sehemu kubwa ya mapato yangu ambayo naweza kujutia siku zijazo ,nikipiga hesabu naona natumia fedha nyingi kwa ''anasa ''ya kulipia ving'amuzi sasa nataka kupata kipokezi kinachotoa huduma za bure(FTA).
Swali langu ni je kwa hapa Tanzania ni aina ipi ya receiver inafaa,napenda sana kuangalia channel za makala
(documentaries kama zile Nat Geo Adv,iwe ni History,Lifestyle,maajabu,maisha ya watu,miji, n.k pia napenda channel za muziki laivu kama I concerts ,michezo kama mpira wa miguu,Setanta africa n.k,CNN,SKY NEWS,BBC,ALJAZEERA,Citizen ,NTV,K24,E ,MGM movies,Viasat Crime,MSNBC,Bloomberg,Fine Living,MTV,SABCO
Pia nimeambiwa kuna dish za ft 6 na ft 8 ni ipi bora,na je kati ya dish za chuma na wavu ipi ni bora
Na kwa hapa Dar maduka yapi yanauza vitu kama madish na receiver genuine,maake bongo bana kila kitu kinawezekana isije nikanunua mbuzi kwenye gunia,ikiwezekana na bei ya hivyo vitu na je kama kuna kitu/vitu vya ziada vya kununua mbali ya dish na receiver ili kuboresha upatikanaji wa channel.
Nataguliza shukrani
 
kama unataka channel hizo zoteeeeeeulizosema unazipenda inabidi ununue madishi kama matano au manne hivi sasa sijui itakubidi uanze kusupply kama wale watu wa cable au niaje maana zote hizo haziwezi kukaaa kwa ungo mmoja na kama unataka za buree fta nyungo zinaelekea upande tofauti na nyuzi tofauti so mkuu hakuna penye unafuu zaidi ya kununua moja kufunga tanzania na kbc au emmanuel na kutulia maana aljazera sports na nyinginezo uelekeo ni tofauti na huu wa bongo kama unataka za fta
 
Back
Top Bottom