Kwa wataalam wa ku unlock simu

reyzzap

JF-Expert Member
Oct 3, 2014
6,796
21,702
8b6df8d239074a3c0c89bd5ce86c0a7f.jpg

Nina HTC kaiser/ HTC AT&T tilt ya kimarekani, haisapot simcard za bongo, naomba maujuz kwa aliye na uelewa wa ku unlock, ilikua inatumika kwa network za kimarekani ndo mana ipo under AT&T( American Telephone & Telegraph) imekuja bongo haikamat network za huku
 
Hawakosekani, ngoja waje sasa hivi. Hii ndo JF with great thinkers. Wanashindwa kutengeneza lakini kuharibu usipime.
 
, humu nawaaminia sanaa, wamenifundisha vitu ving sanaa
 
Hawakosekani, ngoja waje sasa hivi. Hii ndo JF with great thinkers. Wanashindwa kutengeneza lakini kuharibu usipime.
Yaani unataka upate huduma ya sh 20,000 kwa Mb 2!!!?Hauko serious na kazi za watu
 
Tafuta nyuzi za Mwl.Rct jf atakusaidia, Au nenda kariakoo mtaa wa aggrey kwa mafundi simu watatibu tatizo lako.
 
Ni isuue simple tatizo hujui kuisoma sim yako jambo hilo si la kiufundi zaid ni issue ya windows iliyopo ktk sim yako
 
Nilikiwa nayo simu ya hivyi mpaka leo ipo ila betr tu na ilikuwa ni window xp ilikuwa inasoma line ya tg tu ukiweka zingine mnara haupandi
 
Sio nini kifanyike aangalie application zilizopo katika sim yake
HTC hawatengenezi simu kwa ajiri ya America peke product zao zipo worldwide ni yeye kuwa makini na kusoma manual ya simu yake kuna sehem itamuonyesha Network setting yeye anatakiwa kujua yupo ktk ADS ipi kisha a upgrade network ndio aweke line
 
Lakini kama sim yake ni ya kizazi cha mwaka 2000 hiyo inaweza kuwa tatizo
 
namimi nina vodafone VF 685
imei.357053067558252
nani anaweza kunisaidia kuniunlock iwe inasoma laini zote.
 
Back
Top Bottom