Kwa wataalam wa hisabati tu

Huyu bwana kakosea maelezo kidogo tu,ni kwamba jibu linalopatikana,kwa mfano 259*21=5439,then 5+4+3+9=21,sio kila namba inataja umri wako,ni lazima ujumlishe namba moja moja kati ya zile zinazounda jibu lako!

bado hata hii haiaplai kote. mfano 30x259=7770 lakini7+7+7=0 sio 30.
 
Back
Top Bottom