Nimesikia hapa JF hakuna wataalamu wa hisabati, kama wapo kwa hili watachanganyana vichwa, watueleze kwanini inakuwa hivi:
Zidisha 259 x umri wako ( tuite A ) = ( A A A )
Jibu utakalopata ni namba tatu zinazofanana, kila moja ikitaja umri wako bila kukosea.
Haya leta mameno ila msiniulize source
It is all about pemutation! So cjaona cha ajabu
Huyu bwana kakosea maelezo kidogo tu,ni kwamba jibu linalopatikana,kwa mfano 259*21=5439,then 5+4+3+9=21,sio kila namba inataja umri wako,ni lazima ujumlishe namba moja moja kati ya zile zinazounda jibu lako!

Chukulia mimi nina mwaka mmoja yaani 1. Sasa 259*1=259. Je ni sawa na 2+5+9=? Mbona haileti maana bado?
Nimesikia hapa JF hakuna wataalamu wa hisabati, kama wapo kwa hili watachanganyana vichwa, watueleze kwanini inakuwa hivi:
Zidisha 259 x umri wako ( tuite A ) = ( A A A )
Jibu utakalopata ni namba tatu zinazofanana, kila moja ikitaja umri wako bila kukosea.
Haya leta mameno ila msiniulize source
kwa kawaida hisabu(numerology) zimegawika mafungu aina tatu.
1-abracadabra
2-chaldean
3-.........
Hiyo ulio tumia ni ipi usaidiwe...!
kweli hii theory ya mheshimiwa ni applicable kwa baadhi ya namba tuChukulia mimi nina mwaka mmoja yaani 1. Sasa 259*1=259. Je ni sawa na 2+5+9=? Mbona haileti maana bado?
HUYU SIKUMUELEWA VIZURI LABDA AFAFANUE TENA
ILA HUYU WA CHINI NDO KAINGIA CHAKA KABISA
Huyu bwana kakosea maelezo kidogo tu,ni kwamba jibu linalopatikana,kwa mfano 259*21=5439,then 5+4+3+9=21,sio kila namba inataja umri wako,ni lazima ujumlishe namba moja moja kati ya zile zinazounda jibu lako!
MRONGO WEWE
KAJIPANGE UPYA
HKL AFU UNAJITIA PCM?
pamadakupaku!!!!
ni 212121kwa mtu mwenye miaka 21 inakuwaje
katika hali ya kawaida 259*21=5439
tuifanye miaka 21 ni A
nauliza je jibu litakuwa 212121 (AAA) au 21*21*21 =9261
lipi ni jibu la kutegemea kati ya hayo hapo juu naomba kusaidiwa ili nasi tujifunze hesabu.
Nafikiri mtoa mada alimaanisha (259) x (umri wako) x (39) = (umri wako) (umri wako) (umri wako)
Hii ni kwasababu (259) x (39) = 10101
Sasa ukijumlisha zao la mamoja, mamia na makumi elfu na umri unapata hizo namba zinazo fanana
1 x (umri wako) + 100 x (umri wako) + 10000 x (umri wako) = (umri wako) (umri wako) (umri wako)