muwaha
JF-Expert Member
- May 13, 2009
- 740
- 148
Mmmmh! wote mnao-support hayo majibu i don't think kama mnajua hesabu. huwezi kuandika x=y bila kusema sababu ya wewe ku-equate. kwa sisi wataalamu wa hesabu lazima useme let x=y, una assume ukimaanisha it is not true. kesho mtasema if men=women then man=woman, anyway huu ni uwanja wa jokes tuuu!Hahahahahahahahahaa
Ni swali ambalo unaweza ukamuuliza mwanafunzi, wapi pana kosa! Ninaamini wewe unajuwa kosa lipo wapi. Kama unafahamu kuwa zero divide by zero can be certain number, depending to the nature of the numerator and denominator....kama ni zero gawanya kwa zero basi tunaweza kutumia L'Hospitals rule.
Kwanini nasema zero gawia zero? Ulipofika x-y/x-y; hi ni sawa na 0/0 maana x=y. Sasa ikiwa hiyo Never conclude kwamba ni 1.
Ninaamini nimeeleweka wapi palipo kufanya u-conclude kuwa jibu ni moja. Jiulize kwanini namba yoyote ukiigawa yenyewe kwa yenyewe jibu ni moja lakini 0 gawa kwa 0 si moja?