emanuel laizer
Member
- Jun 19, 2015
- 45
- 5
Hakuna jipya wanajamii , neno moja ndilo kila kitu kwa raise ajaye no Hekima na magufuli hana hiyo kipawa cha zaidi atapeleka nchi kwa majivuno na hatutafika
Burigi!!!!!!!!!! Hilo jina lako ni pori huko Biharamulo Magh, sasa wewe ni mmoja wa watu mnaolaumu " Mbaazi ikikosa maua Husingizia jua" tafuteni mchawi wa Biharamulo, mwacheni Pombe afanye anayoyafanye yeye ni bora sana kuliko hao mnaowafanyia kazi maana isije kuwa ni mbio za 2015 ndo mnaanza kuweka mazingira kwa watu wenu.
Kijana una mawani ya Mbao, Wapi jamaa kasema BUZWAGI?, hakuna hilo neno kwenye hilo Bandiko. Amesema TULAWAKA , ni mgodi ambao upo mbele ya Runzewe ,zamani ulikuwa ndani ya wilaya ya Biharamulo kwa sasa upo Chato. Tumia Macho yako vizuri. Wewe ni Mshamba ,Kila mtu anajua kuwa Buzwagi ipo Kahama.Mkuu Buzwagi haipo Biharamuro, au mi nimepoteza kumbukumbu! lakini hapana nimefanya interview hapo mara mbili najua iko kahama. hayo mengine yawezekana yapo na siyo kwa Dr Magufuli ila ni mtindo wa CCM wengi niseme karibu 90% ya wabunge wanafanya hizo mbinu. Maoni yangu, CCM hawatakiwi Tanzania bara.
Kwa ngojera kama hizi Magufuli huwezi mchafua,kwanza katika maandishi yako yote hauja onyesha ni wapi Magufuli amewahi kuiba zaidi ya kuipendelea Chato ambalo is jambo baya! Sasa suala la kupendelea Chato huwezi aminisha Watanzania kuwa Magufuli hafai! Haya ni maoni yako kama mtanzania na Mwananchi wa Wilaya ya Biharamulo ambayo siku zote inalia kuwa Magufuli aliwadhurumu barabara ya lami na kupelaka Chato!
Duh binti lugha kali sana kwa mtu mzuri kama wewe. Anyway, kipindi bandiko linawekwa huyu Mhe aliweka Buzwagi badala ya Tulawaka.Kijana una mawani ya Mbao, Wapi jamaa kasema BUZWAGI?, hakuna hilo neno kwenye hilo Bandiko. Amesema TULAWAKA , ni mgodi ambao upo mbele ya Runzewe ,zamani ulikuwa ndani ya wilaya ya Biharamulo kwa sasa upo Chato. Tumia Macho yako vizuri. Wewe ni Mshamba ,Kila mtu anajua kuwa Buzwagi ipo Kahama.