Ujumbe wako uifikie Dunia gani labda?
Kwangu faida kubwa za kutoolew ni zifuatazo!!!!!!!
1.Kula vya bure vya wale wabishi hata uwaambie una mtu mara 200 wanaamini wananafasi tuuu, hadi ukivikwa pete ndo wanakubali GAME OVER!!!!!!!
2. Rahisi sana kupata msaada haswaa kazini, kutoka kwa watu wenye hidden agenda!!!!!!!!
3. Life is full of oppoetunities and promises, unaweza hata kuibua mume waziri atiiii!!! (Never say never!!!!!) Ila ukiolewa GAME OVER kama umepata umepata kama umepatikana umepatikana.
4. You control your life, hata ukiamka vibaya unaweza kutikia Dubai au Mascat Kimaisha na hudaiwi na mtu.
ishu ukiugua lol
Kila mla cha mwenzake na chake huliwa.upo hapo.
Mmmh hazina application yoyote huwezi ukawa rough eti sababu sina mpenzi.
Kulala mapema sio sababu ya kutokuwa na mpenzi bali ni uamuzi tu unaweza kuwa na mpenzi na bado ukalala mapema.
Fitina zipo hata kam huna mpenzi.
Sijaona la maana kwa sasa
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
SIPO KABISAAAAA!!!!!!!!!!! Aku bibi weeee si wametaka wenyewe!!!!!!! Kwani niliwaombaaaaa? Wajing ndio Waliwao!!!!!!!!!! Na CHAKUOKOTA SI CHA KUIBA, MWENYE MALI NI MJINGA!!!!!!!!!! Si maneno yangu mimi bali WAHENGA wenyewe waliyasema!!!!!!!!
Hii ukaayo wewe.
Wakikupa nawe ukipokea tu!!!eheeeeeee!!!lazima uwapetu.hakuna cha bure.
Vya bure vya kupewa vipo vingi tu!!!!!!!!!!!!!! Kwani tumekubaliana kuna malipo? Kwa mkataba upi? Vya bure vya kuomba ndo hamna!!!!!!! Mi siombi ila nikipewa NALAAAA!!!!!!!! JST A PLAY OF SKILLS!!!!!!!!!!!!!! Vya bure vitamu sanaaaaaa! Kuliko hata unga wa sembe!!!!!!!!!!!
Ok njoo uchukue The boss kakupa ofer ya nigtdrees.
Kisilo hujaweka ushihidi wa kiutafiti zaidi ya mawazo yako. Naona kama unajiridhisha kuwa unayafurahia hayo mateso. Nijuavyo mtu pweke ni uvundo hata uvundo huo auite manukato na uturi. Maisha single ni zahama ingawa tunayapigia upatu. I am trying to imagine jibaba la miaka zaidi ya 30 linaishi kisela ua jimama la umri huo likiitwa nunga. Hakuna anayeweza kufaidi hali hii otherwise awe mtoto si riziki.
Atume kwa DHL itanifikaaa tu asiwe na shaka, na nitaa ivaa mwenyew, sitompa beki tatu, mwambie aondoe shaka