Kwa washabiki wa Mpira wa Kikapu!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa washabiki wa Mpira wa Kikapu!!

Discussion in 'Sports' started by Mkeshahoi, Jun 21, 2010.

 1. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #1
  Jun 21, 2010
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Wadau Nimeiona katika mtandao wa wavuti. kilichonigusa kabisa ni maamuzi ya marehemu kuacha maisha ya ughaibuni na kurejea kijijini kwao kuwaendeleza waanakijiji wenzake. sijaafhamu ni wanamichezo wangapi hapa bongo waliopata bahati(ya kuneemeka) na kuamua kuwatumikia wananchi/ndugu zao waliowaacha.
  RIP BOL:pray:
  Manute Bol - Msudani aliyecheza NBA afariki dunia - wavuti
   
 2. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #2
  Jun 21, 2010
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  walosema Hasheem ni mrefu...!!
   
 3. Aza

  Aza JF-Expert Member

  #3
  Jun 21, 2010
  Joined: Feb 23, 2010
  Messages: 1,672
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  duh!!
   
Loading...