Kwa wasafiri wa ndege dar - na mwanza - nairobi

Ze burner

JF-Expert Member
Jan 5, 2011
514
83
habari njema kwa wasafiri wa ndege kwa safari nilizozitaja hapo juu. shirika la ndege la Precision
Air limeanzisha safari za usiku kwa ruti nairobi, dar na mwanza. hivyo sasa unaweza kuendelea na shughuli zako mchana kutwa then usiku unaelekea unakokuhitaji.

ratiba za ndege unaweza kufuatilia nikipata kamda nitawawekea msijali.
 
Hii ingefaa kwenye jukwaa la matangazo, anyway; ni habari njema.
 
a very good move. itakuwa nafuu sana kwetu sisi tutakiwao Mwanza asubuhi sana wa siku inayofuata. manake tunaweza fanya shughuli zetu dar mpaka mwisho wa siku na kuelekea airport tayari kuanza siku mwanza kesho yake! Safi sana PA. Vp mabasi nayo kwa nini yasiwe huru kusafiri usiku au mchana kwa kadiri ya mapenzi ya abiria?
 
Back
Top Bottom