Kwa Wasabato; Kwanini mnatumia kalenda ya Wakatoliki, Warumi kuhesabu siku za ikiwemo kutambua siku ya Sabato? Kalenda ni sahihi kwenu?

Kwa Wasabato; Kwanini mnatumia kalenda ya Wakatoliki, Warumi kuhesabu siku za ikiwemo kutambua siku ya Sabato? Kalenda ni sahihi kwenu?

Joined
Jun 24, 2025
Posts
3
Reaction score
6
Wadau naomba ushauri wenu kuhusu hoja husika. Msimamo wa wasabato kanisa katoliki ni alama ya ant Christ kwa mujibu wa the book of revelation.

Sasa inakuwaje kalenda yao wakatoliki na Warumi iwe sahihi na waitumie kujua kuwa Sabato ni siku fulani?
 
Unataka kufanya divide and rule , wakatoliki walioandamana ni wa mchongo , acha kututoa kwenye reli
 
Wasabato wana mental illness.

Nashauri waanzishe kalenda yao hii ya waroma waachane nayo mana watakua wameipokea alama ya myama.
 
Ni wapi na lini uliambiwa Wasabato wanatumia kalenda ya Gregorian?

Maana kalenda ya Gregorian Sabato kwao ni Jumapili,Wao wasabato wanaitambua Sabato kuwa ni Jumamosi!

Kalenda ya Gregorian inatambua Sikuu ya kuzaliwa kwa Yesu ni Tarehe 25 December,Wasabato wao hawaitambui ndiyo maana hawasherehekei!

Kalenda ya Gregorian inatambua siku inaanza na kumalizika saa 6 Usiku,Wasabato wao wanatambua kwamba siku uisha na kuanza Jua linapozama!

Sasa hapo wasabato wapi ambao wanatumia kalenda ya Warumi?
 
Back
Top Bottom