Kwa Wapenzi Wote Wa Smartphone: Kwanini Ulinunua Simu Unayotumia Sasa Hivi?

Simu yako imeanza liki kustalk zakwetu huwa zinastack hazijawahi kustalk
Hii Tecno yangu nilinunua sababu ya bei nafuu,ilikua na camera nzuri pia ,ila sahivi sijui imejizeekea camera yake mbayaa,afu simu imekua kimeo kinoma yani, full kustalk, kujipiga sometimes unakuta tu mtu anapokea hee, kupata moto kama inachemshwa dah
 
Mi hii niliyonayo nilimnyang'anya mtu vichochoroni usiku mnene nilimtia mabanzi akaitoa kwa kuhofia nitamuua ni mikofi ya mgongoni
 
Mimi hii simu yangu niliinunua tu kwasababu sina uwezo wa kununua simu ninayoipenda...

Infinix Hot 6 pro

Tsh 270000
Nilinunua mwaka jana

Na hakuna nachokipenda kwenye hii simu
 
Mimi hii simu yangu niliinunua tu kwasababu sina uwezo wa kununua simu ninayoipenda...

Infinix Hot 6 pro

Tsh 270000
Nilinunua mwaka jana

Na hakuna nachokipenda kwenye hii simu
Unapenda simu gani? Na kwanini hauipendi Infinix Hot 6 pro? Kuna vitu gani vimepungua? Au haupati huduma gani?
 
Hii Tecno yangu nilinunua sababu ya bei nafuu,ilikua na camera nzuri pia ,ila sahivi sijui imejizeekea camera yake mbayaa,afu simu imekua kimeo kinoma yani, full kustuck, kujipiga sometimes unakuta tu mtu anapokea hee, kupata moto kama inachemshwa dah
Camera ni mbaya upande gani? Mwanga mdogo? Haina flash? Rangi ya picha haivutii? Au?...
 
Ohoooo, sawa kifimbo cheza na wachafuzi wa lugha , ila hiyo "liki" hapo ulitaka kusemaje pia, kweli hainaga uperfect hii kituu,simu yangu imeanza "Liki" miezi 3 sasa
Ukisema ''kustuck'' simu yako inagoma upande gani? Inachukua muda mrefu kudownload picha? Apps? Kufungua kurasa za internet?
 
Back
Top Bottom