1. Bei
2. Mahitaji yangu(inakidhi mahitaji yangu)
Kwa sasa kimeo kina miaka 4 na miezi kadhaa kinaendelea kuchanja mbuga
Nyie ndio huwa mnakuwaga waaminifu hata katika mahusiano, Safi sana
Super AMOLEDNi kitu gani kilisababisha mpaka ukanunua simu unayotumia sasa hivi?
Mahitaji gani kwa mfano? Whatsapp? Facebook? Games? YouTube? Video Za Muziki?1. Bei
2. Mahitaji yangu(inakidhi mahitaji yangu)
Kwa sasa kimeo kina miaka 4 na miezi kadhaa kinaendelea kuchanja mbuga
Mahitaji:Mahitaji gani kwa mfano? Whatsapp? Facebook? Games? YouTube? Video Za Muziki?
Betri vipi? Inakaa muda mrefu?
Asante kwa mchango wako kaka. Je Unatumia simu ya aina gani? Na Ulinunua shilingi ngapi?Mahitaji:
1. Kuwasiliana kwa njia mbali mbali( call, sms za kawaida na mitandao ya kijamii(WhatsApp, Telegram, JF, Twitter)) pamoja na njia ya barua pepe.
2. Kutunza data zangu muhimu kama mafaili kwenye google kupitia google drive, email(Gmail) na pia kwenye Telegram.
3. Naitumia simu kusoma mafaili ya softcopy
Battery inategemeana na matumizi hasa data zikiwa on, mimi huwa naichaji mara 2 kwa siku endapo nikiwa nimewasha data.
TECNO Y6Asante kwa mchango wako kaka. Je Unatumia simu ya aina gani? Na Ulinunua shilingi ngapi?
sisi wa Tecno naomba tusubiri wale wa Iphone, Samsung, Xiaomi, Vivo, Google Pixel, Motorola na ndugu zao wengine wa comment kwanza kisha tutatoa tamko rasmi.
Nafanya kazi kwenye kampuni moja ya simu hapa Tanzania. Tupo kwenye michakato ya kuboresha huduma zetu. Na ili kufanya hivyo tukaamua kuutengeneza huu uzi.
Hii post ni kwa ajili kupata USHAURI wenu wadau wa simu za smartphone. Unaweza ukatuambia ni kitu gani kilikufanya ununue simu unayotumia sasa?
Je ni bei? gharama nafuu?
Camera?
Mvuto wa simu?
Ulipewa na ofisi?
Zawadi?
Matangazo ya simu?
Ni kitu gani kilisababisha mpaka ukanunua simu unayotumia sasa hivi?
*Asante kwa kushiriki*