Kwa Wapenzi Wote Wa Smartphone: Kwanini Ulinunua Simu Unayotumia Sasa Hivi?

joyron

Member
Nov 9, 2018
19
20
Nafanya kazi kwenye kampuni moja ya simu hapa Tanzania. Tupo kwenye michakato ya kuboresha huduma zetu. Na ili kufanya hivyo tukaamua kuutengeneza huu uzi.

Hii post ni kwa ajili kupata USHAURI wenu wadau wa simu za smartphone. Unaweza ukatuambia ni kitu gani kilikufanya ununue simu unayotumia sasa?

Je ni bei? gharama nafuu?
Camera?
Mvuto wa simu?
Ulipewa na ofisi?
Zawadi?
Matangazo ya simu?

Ni kitu gani kilisababisha mpaka ukanunua simu unayotumia sasa hivi?

*Asante kwa kushiriki*
 
Kwa kuwq ni bei ninayoiweza lakini pia ina vitu angalau vinakalibia vile navohitaji kweny cm, kuanzia camera, ram, rom, chip, jina, betri, network nk.
 
1. Bei
2. Mahitaji yangu(inakidhi mahitaji yangu)

Kwa sasa kimeo kina miaka 4 na miezi kadhaa kinaendelea kuchanja mbuga
Mahitaji gani kwa mfano? Whatsapp? Facebook? Games? YouTube? Video Za Muziki?
Betri vipi? Inakaa muda mrefu?
 
Mahitaji:
1. Kuwasiliana kwa njia mbali mbali( call, sms za kawaida na mitandao ya kijamii(WhatsApp, Telegram, JF, Twitter)) pamoja na njia ya barua pepe.
2. Kutunza data zangu muhimu kama mafaili kwenye google kupitia google drive, email(Gmail) na pia kwenye Telegram.
3. Naitumia simu kusoma mafaili ya softcopy

Battery inategemeana na matumizi hasa data zikiwa on, mimi huwa naichaji mara 2 kwa siku endapo nikiwa nimewasha data.
 
Asante kwa mchango wako kaka. Je Unatumia simu ya aina gani? Na Ulinunua shilingi ngapi?
 
1. Kukaa na charge
2. Simple
3. RAM yake
4. Inanifaa zaidi kwa site. (Locus, Google earth, n.k)
5. Affordability
Nafanya kazi kwenye kampuni moja ya simu hapa Tanzania. Tupo kwenye michakato ya kuboresha huduma zetu. Na ili kufanya hivyo tukaamua kuutengeneza huu uzi.

Hii post ni kwa ajili kupata USHAURI wenu wadau wa simu za smartphone. Unaweza ukatuambia ni kitu gani kilikufanya ununue simu unayotumia sasa?

Je ni bei? gharama nafuu?
Camera?
Mvuto wa simu?
Ulipewa na ofisi?
Zawadi?
Matangazo ya simu?

Ni kitu gani kilisababisha mpaka ukanunua simu unayotumia sasa hivi?

*Asante kwa kushiriki*
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom