kritika
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 410
- 1,158
Kwa sasa tamthilia inayoshikilia headlines kibongo bongo ni sultan..ukiingia instagram ndio habari ya mujini,ni tamthilia inayozungumzia historia ya kweli ya empire ya ottaman ambayo inasemekana ni empire iliyokua na nguvu zaidi duniani kote na kufanikiwa kutawala mabara matatu kwa mda mrefu..
Tamthilia hii inayorushwa na azam 2 kwanzia saa 4 usiku imewateka watz wote wasomi na wasio wasomi kutokana na kuwekwa maneno matamu ya kiswahili(hata mama yangu mzazi anaifutalia kuliko kipindi chochote
) pia inadrama nzuri za kimapenzi wa mama wa mashazade wakiligombania penzi la sultan suleman khan
Karibuni wote na tujuane team zetu
Team hurrem sultana
Team princesser Isabella
Team ibrahim pasha
Team belbey
Team mahdevran
Team nigal khalfa
Team sumbula na gulla
Team valden sultana
Karibuni
Tamthilia hii inayorushwa na azam 2 kwanzia saa 4 usiku imewateka watz wote wasomi na wasio wasomi kutokana na kuwekwa maneno matamu ya kiswahili(hata mama yangu mzazi anaifutalia kuliko kipindi chochote
) pia inadrama nzuri za kimapenzi wa mama wa mashazade wakiligombania penzi la sultan suleman khanKaribuni wote na tujuane team zetu
Team hurrem sultana
Team princesser Isabella
Team ibrahim pasha
Team belbey
Team mahdevran
Team nigal khalfa
Team sumbula na gulla
Team valden sultana
Karibuni