HansMapunda
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 456
- 260
kaka,kama ni football manager hakuna game zaidi ya football manager
mkuu nisaidie link za kuweza ku download simulation games hasa American simulator ...mimi nina Euro truck japo ni demoMkuu nina euro truck simulator na american truck simulator nisaidie nipate bus simulator
Mimi nipo Musoma MaraUpo wap mkuu
Mkuu unaweza kunisaidia link yoyote ya bus simulator ambayo ni latest? Mimi ni mpenzi sana wa magari lakini naona ets2 inanichosha kwakua imekua yenyewe tu. Nahitaji nipate bus simulator na car racing games zenye nuonekano wa kisasa.kuna sims series, sim 2, sim3, sim 4 nk simulation ya maisha