Kwa wapenzi wa simulation PC games

Kwa wapenzi wa simulation PC games

Vangiporini

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2012
Posts
328
Reaction score
316
Wakuu, kwa wale ambao ni game addicted kama mimi hapa ningependa tujulishane zaidi juu ya hizi games. Binafsi nimetokea kupendelea sana simulation games kwani zina hali fulani ni kama reality hivi.

Hadi sasa simulation games ninazozifahamu ni EURO TRUCK SIMULATOR, AMERICAN TRUCK SIMULATOR, BUS SIMULATOR, TRAIN SIMULATOR. Kama kuna simulation games nzuri zaidi ya hapo ningependa tujuzane wadau.
 
kuna sims series, sim 2, sim3, sim 4 nk simulation ya maisha
 
Wakuu, kwa wale ambao ni game addicted kama mimi hapa ningependa tujulishane zaidi juu ya hizi games. Binafsi nimetokea kupendelea sana simulation games kwani zina hali fulani ni kama reality hivi.

Hadi sasa simulation games ninazozifahamu ni EURO TRUCK SIMULATOR, AMERICAN TRUCK SIMULATOR, BUS SIMULATOR, TRAIN SIMULATOR. Kama kuna simulation games nzuri zaidi ya hapo ningependa tujuzane wadau.

Mkuu nina euro truck simulator na american truck simulator nisaidie nipate bus simulator
 
Mm napenda game tena sana lakin kwa stimulation games hapana sjawahi cheza ila nina gem kibao katika pc yangu kama gta5 pes16 watchdogs need for speed the ru na nyengine nying tu
 
na mimi niongezee napenda sana rpg games hizi kama series za assassin creed, god of war kama kuna mtu nae anazijua nyingine nzuri kama hizo anijuze pia
 
nakushauri ujaribu simulation games aisee anza na euro truck tuu then utanambia
 
na mimi niongezee napenda sana rpg games hizi kama series za assassin creed, god of war kama kuna mtu nae anazijua nyingine nzuri kama hizo anijuze pia
yaah hata miminapendelea hizo pia fanya utafute call of duty pia
 
Mm napenda game tena sana lakin kwa stimulation games hapana sjawahi cheza ila nina gem kibao katika pc yangu kama gta5 pes16 watchdogs need for speed the ru na nyengine nying tu
Nifanyie mpango gta5 mkuu nakuomba
 
Back
Top Bottom