Kwa Wapenzi wa Nyimbo za Rock

Kwa Wapenzi wa Nyimbo za Rock

King Shaat

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2013
Posts
863
Reaction score
835
Ni vipi humu ndani?!. Natumaini mko poa asee.
Katika moja ya aina za muziki nnazokubali mahadhi na rhythm zake ni ile ya Rock. Ingawa sio aina ya muziki ambayo inajulikana na kupendelewa sana na watanzania wengi, ni aina ya muziki ambayo pia nayo kwa namna moja au nyingine zina ujumbe na uzuri wa sauti (za waimbaji pamoja na vyombo).

Kama na wewe ni mmoja wa wapenzi wa muziki aina ya rock, niambie bendi gani (rockstar gani) unaikubali zaidi katika genre nzima ya rock bila kuangalia aina ya rock wanayohusika nayo.

Kwa kuanzia, binafsi yangu nazielewa sana hizi bendi:-
i) Alice in Chains
ii) Metallica
iii) Black Sabbath, na
iv) AC/DC

Zingine nazo ziko poa sema hizo mi ndo nazielewa.

NOTE: Pia kuna group la whatsapp la wapenzi wa Rock 'n' Roll Tanzania, kama utapenda kupata miziki, stori, na habari za rock, text kupitia 0652275300 na 0766078034 tuku'add.
 
Coldplay kuna live album yao moja hivi ina Viva la Vida asee ile album ni kali bhana
 
Napenda rock , house, Electronic & zouk. Napata burudanu sana kusikiliza mahadhi hayo.
1) linkin park
2) The script
3)Fall out boy
4)The click five
5) Green day
6) Gin Blossoms
7)nickelback
8)codplay
9)Matro station
10) Maroon 5
 
Kweli we unafaham Rocky... I once said, if I were to die today and asked to give three reasons why I shouldnt die today one of them would be that, I would miss rocky songs!
 
Kweli we unafaham Rocky... I once said, if I were to die today and asked to give three reasons why I shouldnt die today one of them would be that, I would miss rocky songs!

Me mpka nakufa kati ya hizo band azijaja Tz. Nitakua nimekosa kitu duniani
 
Kweli we unafaham Rocky... I once said, if I were to die today and asked to give three reasons why I shouldnt die today one of them would be that, I would miss rocky songs!

Hahaha, mkuu huu mziki uko poa sana asee. Hasa pale unapokuta vyombo vimepigwa vizuri na lead singers wana sauti znazoendana na maudhui ya wimbo
 
Wakuu wenzangu nakumbuka back in the days kuna kipindi ilifika kutokana na kupenda sana rock, nkajikuta najiweka katika viatu vya rockstars ka kina James Hetfield wa Metallica, Jerry Cantrell wa Alice in Chains, na Brian Johnson na kujaribu sing along to their vocals with the guitar in my hands (ingawa nlikuwa hata sijui kulipiga).
 
Kuna wale wameimba sleeping child

Hao ni Michael Learns to Rock (MLTR) ingawa kuwa mkweli sijawahi kuwasikiliza. Ila kutokana ma mapenzi kwa rock, mkuu ntatafuta japo album yao moja niwasikilize.
 
Me mpka nakufa kati ya hizo band azijaja Tz. Nitakua nimekosa kitu duniani

Mkuu shida ni kwamba, rock bands zinafanya tours at least kwa nchi ambazo zina atleast kamuamko na mziki huo. So mi naona, kwa sisi wapenzi wa rock tutaishia kuangalia live tours Youtube. Ni sawa na kusema team za NFL kuja kucheza mechi mbili hapa bongo!. Ila haina mbaya coz We will always Rock!
 
Back
Top Bottom