Kwa wapenzi wa mambo haya......

Sijui niache kuvaa au vipi ngoja niendelee kutafakari lol!!!!!
 
Hivi kwa wastani
mwanamke wa kitanzania ana viatu vingapi na mabegi mangapi?
Nazungumzia working class...
Tukifanya utafiti utakuta ni industry ya mabilioni....

Boss you will be amazed with the results... Siwezi bisha yaweza kua billions...
 
]Hivi kwa wastani
mwanamke wa kitanzania ana viatu vingapi na mabegi mangapi?
Nazungumzia working class...
[/COLOR]
Tukifanya utafiti utakuta ni industry ya mabilioni....
Boss before wakati ofisi iko jengo la Barclays House pale opposite na Movenpick aisee wadada wanaofanya kazi ofisi zilizo jengo lile watakuwa na pair zaidi ya 40 za viatu maana wale ambao nilikuwa nafanya nao kazi ofisi moja tu from Monday to Friday harudii viatu begi akirudia ni mara moja au mbili tu
 
Something-Blue itakupendeza sana

sasa hapo ndo mchezo huwepo... Blue/black/white is the only
color i prefer in sneakers.. otherwise iwe mchanganyiko...

Kwa Lady shoes gold, red, silver, white, purple ndo fav colors zangu...
 
Hio ndio inayo tutesa saana wadada kuweza fanya maendeleo.... Imagine the Money Used hapo... Ni mshahara wooote... LITERALLY...
 
hii industry inabidi uifanyie kazi
i know this fact...
Wanasema womens wanaspend with emotions kwenye hivi vitu..
 
hio ndio inayo tutesa saana wadada kuweza fanya maendeleo.... Imagine the money used hapo... Ni mshahara wooote... Literally...

haya mambo ni dunia nzima
asha dii
its a woman thing....
 
sasa hapo ndo mchezo huwepo... Blue/black/white is the only
color i prefer in sneakers.. otherwise iwe mchanganyiko...

Kwa Lady shoes gold, red, silver, white, purple ndo fav colors zangu...

sasa hapo ndo mchezo huwepo... Blue/black/white is the only
color i prefer in sneakers.. otherwise iwe mchanganyiko...

Kwa Lady shoes gold, red, silver, white, purple ndo fav colors zangu...

AshaDii, haya zawadi yako hiyo hapo chini!!

<IMG title="Manolo Blahnik Something Blue Satin Pump" alt="Manolo Blahnik Something Blue Satin Pump" src="http://lh3.googleusercontent.com/public/H_uSo-yt0GyhhgIFSuBsieI49wTSqrso_saLqEzxcF0Zkj_BZIjqUuaLOhEwtbhES_8HLm-4dpTbyH-Ui_pG2MF1JJNr3RO2_JsAPm2TJ_l1B0osRtAJeu0oXGSgTLdE5BX_CuRejzq9FabNQTBnRegfDJzxGJA=s220-c">
$945.00
<CITE>Bergdorf Goodman</CITE>
Manolo Blahnik "Something Blue" Satin Pump

Cobalt blue satin. Silvertone hardware. Crystal broach detail on vamp. 4 1/4 covered heel. Made in Italy.

Hizi Gaijin na AshaDii zijui zitawafaaa lol!!!!
 
The guy in the second pic looks gay- and I don't mean happy

Yaani out of all those guys watatu wanaqualify kuonekana kama wako gay.... They don't look man enough...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…