Kwa wapenzi wa mambo haya......

hapo amekoma mwenyewe,mie natubu kabisa bora tight! ila tite zile kama zetu za kuvaa wakati miguu iko hewani kwa wanaume sijui mnafanyaje!
There you go<br />
<img src="http://1.bp.blogspot.com/_p9bTjaEtKuc/S7M9EzS8STI/AAAAAAAABLU/g5B9-wUXnvY/s1600/baggy_jeans.jpg" border="0" alt="" /><img src="http://www.whoateallthepies.tv/EMP-6125236.jpg" border="0" alt="" />
<br />
<br />
 
hapo amekoma mwenyewe,mie natubu kabisa bora tight! ila tite zile kama zetu za kuvaa wakati miguu iko hewani kwa wanaume sijui mnafanyaje!
Dah!!!! King'asti nilikuwa nina mpango wa kuja kwako nimezivaa weekend hii ngoja nibadilishe style dah mtu waweza toswa hivi hivi aisee lol!!!
 
Lol!!!
vipi wote hawa ni wake za watu?????
Hamna mkuu vipi unampango wa kuomba date kwa mmoja wao???

Na hakika ..hiyo ni very strategic reason kwa nini ikawa n that place ... Ventilation !!
Hahaha!!!!!
 
Naona The Finest umejipendelea...hvo vi model vimefanana na ww (mm) hahahahaha!

BTW kibongobongo swaga zingine bana apo juu doesnt make sense at all, ukivaa uku afu ukakatisha mitaa ya JJ hukawii kupigiwa miluzi..damn! wakat ulaya ndo fasheni.
 
Tatatatatatatata TF, ninavyochukia mwanume
Kuvaa tight clothes especially jeans ..bora
atembee uchi.. fashion nyingine ni disaster...

Hre you are dear...mwaaa mwaa mwaaa (kisses)..well said.
The Finest ndo swaga zakee hizi...lols! Sipend 'skin jeans' aisee kuvaa, wengine tigo rusha popote palee, ndo maana nimeweka tinted, sikimbii jua la bongo mm aisee.
 
Naona The Finest umejipendelea...hvo vi model vimefanana na ww (mm) hahahahaha!

BTW kibongobongo swaga zingine bana apo juu doesnt make sense at all, ukivaa uku afu ukakatisha mitaa ya JJ hukawii kupigiwa miluzi..damn! wakat ulaya ndo fasheni.
Mkuu Manda nimecheka mpaka basi lol!!! Aisee leo kikao kama kawaida mitaa yetu ile
 
Hre you are dear...mwaaa mwaa mwaaa (kisses)..well said.
The Finest ndo swaga zakee hizi...lols! Sipend 'skin jeans' aisee kuvaa, wengine tigo rusha popote palee, ndo maana nimeweka tinted, sikimbii jua la bongo mm aisee.
Mkuu tena umenikumbusha nakuletea moja leo
 
Mkuu tena umenikumbusha nakuletea moja leo

Save ur energy...hainifai kwa nature ya kaz yangu (ufundi rejeta wa papo kwa apo)...wasiliana na Ex RR kwa maelekezo zaidi na kama anauhitaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…