Robin Van Mysterio
Senior Member
- Jul 24, 2014
- 102
- 15
Kwa wale wafuatiliaji na wapenzi wa mchezo wa mieleka (WWE) hii ndio itakua thread yetu ambayo tutakua tukipeana Updates ya kinachoendelea.
Tukianzia na matokeo ya jana Sept 21 katika Pay-Per-View ya "Night of Champions" matokeo yalikuwa kama Ifuatavyo....
1. John Cena def. Brock Lesnar (c) by Disqualification (WWE
World Heavyweight Championship Match)
★Lakini Brock Lesnar amebaki kuwa WWE Champion bcoz Title CAN'T change hand via Disqualification
2. AJ Lee def. Paige (c) &
Nikki Bella (WWE Divas
Championship Triple
Threat Match)
★ AJ Lee amekua divas Champion kwa mara ya 3 sasa.
3. Randy Orton def. Chris
Jericho.
4. Rusev def. Mark Henry
★ Rusev amezidi kuendeleza streak yake ya kutopigwa tangu ajiunge na WWE.
5. The Miz def. Dolph Ziggler
(c) (Intercontinental
Championship Match
6. Sheamus (c) def. Cesaro
(United States Championship Match)
7. Gold & Stardust def. The
Usos (c) (WWE Tag Team
Championship Match)
8. Mechi ya member wawili wa zamani wa "The Shield" Seth Rollin vs Roman Reigns haikufanyika kutokana na Roman Reign kufanyiwa upasuaji. Hivyo Seth Rollins alipewa ushindi.
Lakini kitu kizuri ni kuwa Dean Ambrose ambaye pia ni former member of the Shield alirejea ulingoni baada ya kuwa nje kwa zaidi ya mwezi mmoja na kumshambulia Seth Rollins.
Hivo ndivyo ilivyokua jana katika Night of Champions.. Je leo katika Monday Night Raw itakuaje...!? Tutazidi kupeana updates.
√√√√√√√