Kwa WAPENDANAO TU!

nataka awe mshamba wala asijue kazi ya pili ya gegedo ni nini zaidi ya kutoa mkojo

yaani mimi ndo nimfundishe mpaka back and forth sasa ole wake aanze kukatika

umenichekesha sana wewe mdada
 
sidanganyiki mwenzio hapa nshapofuka namuona mo11 tu we kaa bench kwanza akichoka ntakuita
Hunganyiki eee???
kama ni wa kiume hao watoto kwangu haina shida mtoto wa mwanamke mwenzangu ni mkubwa mwenzangu malezi watapata wakati niko kwenye foleni kumngojea baba yao ila wa kike mama yao atalea hahahahaaa huhuhuuuuu
Aisee wewe embu fanya utafiti kwanza
Sweet16 achana na huyo hapendi nipate yeye ananiombea mabaya kila siku
Mimi sipendi kweli??.haya soma hapa chini
achana nae huyo tuongelee yetu
Sweet16 sijui nikupe hongera au nikupe pole??
Usije kuniomba ushauri kwa hili,
 
Last edited by a moderator:
Hunganyiki eee???

Aisee wewe embu fanya utafiti kwanza

Mimi sipendi kweli??.haya soma hapa chini
Sweet16 sijui nikupe hongera au nikupe pole??
Usije kuniomba ushauri kwa hili,

Sweet16 haka kajamaa kaweke kwenye ignore list ili usizione post zake
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…