Kwa WAPENDANAO TU!

uuuuuuwww kausha bas ngoja nije PM

Dada kwa ushauri wabure kabisa usiende pm kwa MO11, huyo jamaa ni hatari aisee me namjua tangu shule ya msingi....
 
Last edited by a moderator:
uuuuuuwww kausha bas ngoja nije PM

njoo nakusubiria tena kwa haraka tu
Dada kwa ushauri wabure kabisa usiende pm kwa MO11, huyo jamaa ni hatari aisee me namjua tangu shule ya msingi....

Sweet16 huyo utafiti nuksi tu ananibania kwanza hajakwambia uhatari wangu nini anajua mwenyewe nikipenda ni hatari sisikii wala siambiwi utafiti tafuta kazi ya kufanya sio majungu
 
Last edited by a moderator:
njoo nakusubiria tena kwa haraka tu

Sweet16 huyo utafiti nuksi tu ananibania kwanza hajakwambia uhatari wangu nini anajua mwenyewe nikipenda ni hatari sisikii wala siambiwi utafiti tafuta kazi ya kufanya sio majungu

Ooohoo kama sio hatari mbona unaanza kujitetea?? Tulia hapo hapo, Sweet16 nitafute mama
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…