everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,032
Hekima na busara tele za Kaka yetu Tized kamwe hukosi kuziona kama wewe ni msomaji makini wa michango mbali mbali toka kwa Kaka yetu. Umetunukiwa Bro ili upate wa kula naye pensheni taratibu kwa raha zenu. Ngoja niongeze huo umbali na kufanya uwe futi milioni toka usawa wa bahari lol!!!!
duh! Huu mfagilio unatisha,bana mi nipo nipo tu Tized na kaka yake wamenishikia bango nikahesabiwe wakati mim nataka niende zenj kwenye ile hotel aliyotangaza Kikeke ina chumba kimoja kiko chini ya bahar, bas mi wananiudh kwelikweli !!.!
Last edited by a moderator: