Tized
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 4,025
- 5,977
Last edited by a moderator:
Utasikia.
Siku ya harusi nitavaa suti gani kali? Nitavaa shela gani la nguvu? Nitatembeaje wakati naingia ukumbini? Tutatumia style gani ya kulishana keki? Nitaanzaje kulivua lile shela lake tukifika hotelini?
Hakuna anayewaza, Hivi akifukuzwa kazi akawa hana mshahara bado nitamuheshimu? Akijifungua halafu akanenepeana kupitiliza bado nitamwita baby? Akiumwa halafu nguvu zake za nanihii zikapotea bado ntakuwa mwaminifu? Akipata ajali na kuwa na kilema cha maisha hivi bado nitamuenzi?
Kama unatumia muda mwingi kufikiria harusi ya siku moja kuliko ndoa ya miaka hamsini, pole sana, inawezekana unataka kuwa bibi/bwana harusi lakini hutaki kuwa mke/mume. Kupanga ni kuchagua.
SHAKE WELL BEFORE USE.
Try again later.........
Error E52
Typing......
Typing......
Maji ulishayaamulia kuyavulia nguo kwa nin unawe
Nawa yenyewe passport size hahahhahH
Umeona enh
Dear mtoa mada aaahhhaaa yaani sicheki kwa dharau la hasha nacheka kwa sababu ni ukweli ulichokiongea . Wengi wetu sisi tunapenda na kufikiria Harusi ila sio maisha baada ya harusi. Always ninasema ndoa ni wito , yaani kabla hujaitamani na kuiingia you have to be sure if that's your calling ,ndio maana wengi wetu tunaishia njiani. Mimi binafsi nilishawahi kupitia Haya it wasn't easy aisee but through God , love, passion, and commitment I made it . Imagine Mko katikati ya ndoa changa halafu mwenzio anapata Stroke , what would you do? Halafu on top of that you partner got brain hemmorhage , everything started over just like a new Baby born no help , no nothing plus you have six months old Baby , halafu wote Mko nnje ya Tz. Na kama Mama mwenye nyumba you will have to provide , for your family . But all that I did it through God who gave me strengths . Siko hapa kujisifia ila ni Ku support mada . Jamani ndoa ni huduma haijalishi iwe ya kiislamu or kikristo , its not about Baby, or honey tuu na action tuu zinahitajika . So tunapoamua kuingia kwenye ndoa tuwe na tayari na chochote haswa katika changamoto za kimaisha . Myself I feel Blessed and happy to have that exeperience in my life ,.. Thanks!