Utasikia.
Siku ya harusi nitavaa suti gani kali? Nitavaa shela gani la nguvu? Nitatembeaje wakati naingia ukumbini? Tutatumia style gani ya kulishana keki? Nitaanzaje kulivua lile shela lake tukifika hotelini?
Hakuna anayewaza, Hivi akifukuzwa kazi akawa hana mshahara bado nitamuheshimu? Akijifungua halafu akanenepeana kupitiliza bado nitamwita baby? Akiumwa halafu nguvu zake za nanihii zikapotea bado ntakuwa mwaminifu? Akipata ajali na kuwa na kilema cha maisha hivi bado nitamuenzi?
Kama unatumia muda mwingi kufikiria harusi ya siku moja kuliko ndoa ya miaka hamsini, pole sana, inawezekana unataka kuwa bibi/bwana harusi lakini hutaki kuwa mke/mume. Kupanga ni kuchagua.
SHAKE WELL BEFORE USE.