Kwa Wanyisanzu pekee waliopo humu JF!

Kwa Wanyisanzu pekee waliopo humu JF!

MNYISANZU

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2011
Posts
7,046
Reaction score
1,106
Wela ule?! Wakuu, nataka kugombea ubunge 2015 kupitia CDM.
 
Naombeni ushauri wenu hasa kwa kuzingatia mazingira ya jimboni.
 
Unagombea jimbo gani...?....
tupe wasifu wako....hatuchagui watu lege lege.......na hatuchaguani kwa kikabila....
tunachaguana kwa sera......
 
Nipeni plans, strategies/techniques za kufanya sasa hivi mapema.
 
Back
Top Bottom