ningekua jirani ningekununulia soda kama mbili hivi.Mnaringa na mbuyu twite wenu lakini hawezi kufikia kiwango cha mapro wetu akina keita na ochang...ok?
ningekua jirani ningekununulia soda kama mbili hivi.
Naomba mnijuze,hivi mbuyu twite amepona?Nilisikia kuumia kwake but cjaweza jua atakaa nje kwa muda gan au la???Tafadhar nijuzen mwenzenu
kutoka kwenye magazeti ya kinazi wanasema yupo fit kwenda kupokea kichapo cha moja bila..
kutoka kwenye magazeti ya kinazi wanasema yupo fit kwenda kupokea kichapo cha moja bila..
hata Kavumbago hamuwezi Akufor kwa upigaji mzuri wa penati!
Yuko physically and mentally fit kuzuia move zote za kina Danny Lyanga sijui na nani nani huku akisukuma mashambulizi kupitia upande wa kulia na wakikaa vibaya hakawii kuwatungua bao.....naam huyo ndo Mbuyu Twite a.k.a Rage, najua Simba wote wanamwombe Mshikaji apate majeruhi ya muda mrefu.

malizia kesi yako na takukuru inayohusu wachezaji wako na bwana mliefunga nae ndoa ya mkeka
Ikithibitika wachezaji wa Azam walipokea mlungula, timu ya Simba lazima ishushwd daraja na viongozi waliohusika wapelekwe kwa pilato maana mtoaji na mpokeaji rushwa wote ni wakosaji mbele ya sheria.
Aibu kwa Mnyama, mbona Azam alifungwa na Yanga hivi karibuni na hawalalamikii vitendo vya rushwa? Penye moshi pana moto.