Kama hana hela wa nini sasaAshajulikana kuwa hana pesa anapotezewaπ
Singo sugu tena πππβοΈNawe ni Single Lady? Sema tuzame PM
Ungenitaja tu kwa jina langu ya nini kuweka kivumishi πTo all singo ladies
Nawaweka mikononi mwa Bwana
Jamani msituangushe
Muolewe
Tushone sare
ππππβ€οΈπ¦π
Mnaninyima Raha Sana.Nimecheka kwa sautiπππππ
Ubaya mko wengi sanaaaUngenitaja tu kwa jina langu ya nini kuweka kivumishi π
ππAkizipata anaitwa baby aah nyie
Ni huzuniUbaya mko wengi sanaaa
πππ
Hata sijui nianzie wapi
Thank you boo same to youHello Beautiful Women
Ninyi ni wathamani sana π₯β€οΈ
Walezi na viongozi βοΈπ
Mkawe na siku njema π₯
Tuendelee kusongesha gurudumuNi huzuni
πππmi nitoe siwezi mashindano
Only one wish? Then, I would wish to ask you to remove hiyo Avatar.Ungenitaja tu kwa jina langu ya nini kuweka kivumishi π
Futa machozi ulaleOnly one wish? Then, I would wish to ask you to remove hiyo Avatar.
Inanitia kimuhemuhe. Paja linaita. Linatamanisha. Linanitoa mate. Kifuani mshedede. Navutiwa kulizoom, 'This member limits who may view their full profile' ndiyo ujumbe unaonipokea.
Nanung'unika na kutoa huruma. Nabonyeza kurudi nyuma kwa masikitiko.
Aaaaagh napitia comments, nakuta Tena Avatar ile ile inatype.
Wacha nilale tu.
Omba maji mkuuOnly one wish? Then, I would wish to ask you to remove hiyo Avatar.
Inanitia kimuhemuhe. Paja linaita. Linatamanisha. Linanitoa mate. Kifuani mshedede. Navutiwa kulizoom, 'This member limits who may view their full profile' ndiyo ujumbe unaonipokea.
Nanung'unika na kutia huruma. Nabonyeza kurudi nyuma kwa masikitiko.
Aaaaagh napitia comments, nakuta Tena Avatar ile ile inatype.
Wacha nilale tu.
Ngoja nicheke π π πOnly one wish? Then, I would wish to ask you to remove hiyo Avatar.