National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,174
- 56,212
Marahabaaa shangazi wangu πππKwani ukimiwishi utapungukiwa nini mjomba lakini ππ€!!
Shikamoo mjomba!!
Awwwwwwwwww!!ππππMarahabaaa shangazi wangu πππ
Nakuja kukunywesha mathiwa ya mtindi kwanza aunt yangu alafu badae uchague wapi ukasherekea siku yakoView attachment 2541723
π aunt furaha yako ndio yangu, tufurahiiii hakuna namna na lazima ufurahi aunt yanguAwwwwwwwwww!!ππππ
Navopenda mtindi walai kama ulijuaaa!!
Thawa mjomba najiandaa badae out na mjomba wangu miee weeuweehh!!π
Umeona eeehhh! Ndio hivo mjomba wangu acha tufurahi maisha ndio hayahayaaa!π aunt furaha yako ndio yangu, tufurahiiii hakuna namna na lazima ufurahi aunt yangu
Ubarikiwe sana kwa kuwajali na kuwathamini wanawake mkuuMkuu Glenn kwa niaba ya Wanaume wote Tanzania especially tuliomo humu kwenye familia ya JamiiForums nikupongeze kwa andiko lako kwenye siku hii maalum ya Wanawake/Wake/Dada zetu Duniani. Umeandika maneno mazuri yenye kugusa hisia kwa kila binadamu mwenye utimamu wa akili na hisia. Binafsi nawaheshimu, nawapenda na ninnawathamini sana Wanawake haijalishi Mwonekano, hali ya kimaisha na Upeo wa kufikiria pamoja na mapungufu waliyo nayo. Nimepitia malezi Wanawake zaidi ya Wanne. Bibi mzaa Baba alinilea na kunidekeza sana, Mama yangu alikuwa ni mwenye sheria na mkali sana, kuna Mama ambaye alinilea na kunitunza kama mwanae wa kumzaa japo tulikuwa tunafanya kazi nyingi lakini tulikuwa tuna enjoy sana maisha ikiwemo kuvaa vizuri na kwenda sana vacation sehemu mbalimbali na kuna royal family pale visiwani Zanzibar kuna Mama naye nilipitia mikononi mwake na nilikuwa najitegemea lakini alinifundisha vitu vingi sana ikiwemo hii modern life na alinisaidia sana ku control hisia na mihemko yangu. Yote kwa yote Mwanamke ni binadamu muhimu sana na ndiye aliyekuja kuikamilisha hii dunia.
Nawatakia heri nyingi sana Wanawake wote.
Maisha ni furaha na ni kuchagua, tumeisha amua kuchagua furaha na kuishi furahaa.. badae walee π¦ π¦ π¦ π¦Umeona eeehhh! Ndio hivo mjomba wangu acha tufurahi maisha ndio hayahayaaa!
Ile siku ndio leo sasa πππFurahia siku yenu
Ametokea kuruogopa sana, usiku nilimwambia nikuite aliomba msamaha sanaπ€£π€£Bado nondo za kwenye uzi wa Nakadori zinamuuma Satoh Hirosh mpaka leo anajifanya ana roho ya jiwe π€£ π€£ π€£
Pole na majukumu π umekua busyHaya nibariki mwananguπ
Hii ni ya leo subuhi. Sio ile ya Janaπ πUliedit saa ngapi?
Jana usiku sikuona jina langu
πππππ