Kwa wanawake wote. Humu chungulia

Kwa wanawake wote. Humu chungulia

Mwasango

Senior Member
Joined
Aug 8, 2016
Posts
155
Reaction score
70
Kama wewe ni mwanamke mwenye mahusiano na usiye na mahusiano.

Hili ni janga kwamba vibamia vibamia
Sasa..embu jifanye kwamba ungezaliwa mwanamme ungependa uwe na MUHOGO Wa ukubwa ghani????

Kwa ambao hawajui chukua rula kubwa ile angalia upande wa cm AU centmeter chukua namba pale tupia hapa......
 
kama ana nchi saba mwanamke kufika katika shingo ya kizazi mwanaume unatakiwa uwe na nchi tano na upana wa nchi mbili au moja mpaka moja na nusu kujua nchi mikato katika vidole vya mikono toka mmoj kwenda mwngne ni nchi
 
Vaginal tract ya mwanamke wa kawaida yaani specie ya homo sapiens ina urefu usiozidi 4.5 inches na diameter ya 1.5 inches
 
Awe kibamia asiwee anaweza kuwa na muhogo wa jang'ombe ila ukamshinda kutumia akiwa na mwanamke kitandaniii aaze kumparamia km anagombania gari za mbagala, kitandani utunduu tuu unajua nikimkamatia hapa au palee kwishaa habari yakee .
 
Wanawake watupie cm wanazotaka au wanaume watupie urefu wao ???
Yani kama kuna mwanamke humu jf angekuwa au angezaliwa wakiume angependa awe na ukubwa ghani wa muhogo
 
kama ana nchi saba mwanamke kufika katika shingo ya kizazi mwanaume unatakiwa uwe na nchi tano na upana wa nchi mbili au moja mpaka moja na nusu kujua nchi mikato katika vidole vya mikono toka mmoj kwenda mwngne ni nchi
Hiii ni kiitaalaamu... Au kisayansi inahuakika?
 
Madada humu tunaomba jibu.... Zawadi ipoo... Kwa mtandao yote...
 
Back
Top Bottom