Kwa wanawake wanaojua thamani zao

Kwa wanawake wanaojua thamani zao

mtoa maada uache ubaguzi kwa kuwaandika kina evelyn salt tuu tupo na sisi neriah sugar tuna mawazo mazuri ya kuchangia, ni kwamba wale wasiojitunza wanajua hata namna ya kuhandle mapenzi mana alikuwa akiwa kwenye relationship na mmoja akamwacha atatafuta kasoro yake na kujipanga upya na kujutia mapungufu yake ya kwa nini kaachana na wa kwanza, hivyo akaja wa pili anakuwa keshajua jinsi ya kuyaepuka yale mapungufu kwa hiyo atazidi kuongeza umaridadi na mpaka anaolewa anakua ana experience ya kutosha
 
wengi waliotulia wanajua mwanaume ana thamini bikra tuu kumbe wanaume wanakuwa wanahitaji vitu vingi likiwemo utundu kitandani, usafi wa mwili, namna ya kumwita baby, na mambo mengi ya kisasa sasa akiwa amejitunza inakuwa ngumu kuyafahamu hayo na ndo maana wanaume wao huishia kuchepuka na mwishowe ukimwi
 
Kujitunza sio lazima uwe na bikira.. Na mapenzi hujifunzi kwa kufanya ngono na kudate na watuq wengi..yaani kutia** na watu wengi hakukufanyi uwe unajua sana mapenzi..
 
Back
Top Bottom