Kwa wanawake wanaojua thamani zao

Kwa wanawake wanaojua thamani zao

We unawaongelea watu wa tamthilia hao
hawa wengine ni wale wanyenyekevu sana kila kitu sawa mpenzi
hata kama ye ndo kakosewa ananyenyekea tu

Nimekusoma, huyo atakua taahira. Mimi ninaowaju niwale wema ambao ukiwa nae hata neno "m*enge" likikutoka bahati mbaya yaani kwake ni ishu. Kuna mmoja nilikuaga naye yaani nikikaa nae masaa matatu nasikia naumwa, hata kumgegeda hataki kupinduliwapinduliwa.Ukimpindua jianda kwa maswali baada ya gem lazima Atakuuliza "hivi unenichukuliaje"
 
Maumivu ya mwingine asikufanye ujiachie, chunga mwili wako kwa faida yako, hakuna tuzo ya ngono.
 
Nimekusoma, huyo atakua taahira. Mimi ninaowaju niwale wema ambao ukiwa nae hata neno "m*enge" likikutoka bahati mbaya yaani kwake ni ishu. Kuna mmoja nilikuaga naye yaani nikikaa nae masaa matatu nasikia naumwa, hata kumgegeda hataki kupinduliwapinduliwa.Ukimpindua jianda kwa maswali baada ya gem lazima Atakuuliza "hivi unenichukuliaje"

Duuuh huyo alikuwa kiboko..hata kumpindua ni issue...
Hajui Kama ukiwa na mpenzi wako faragha lazima uplay role ya a Porn star
 
Kwa experience yangu watu decent huwa wanateswa sana kwenye mahusiano
sijui kwanini, ila sio sababu ya kuacha kujitunza wajitunze tu....

kama ww ulivyo bikra mpaka leo hyo ni zawad ya mumeo
 
Nimekusoma, huyo atakua taahira. Mimi ninaowaju niwale wema ambao ukiwa nae hata neno "m*enge" likikutoka bahati mbaya yaani kwake ni ishu. Kuna mmoja nilikuaga naye yaani nikikaa nae masaa matatu nasikia naumwa, hata kumgegeda hataki kupinduliwapinduliwa.Ukimpindua jianda kwa maswali baada ya gem lazima Atakuuliza "hivi unenichukuliaje"
ndo hiyo shida yenu watu wanawaheshimu na kuwanyenyekea weee mnawaona mataahira
mnaishia kuwatesa tu ndo maana huwa sipendi hizo acting za kiboya mie
 
Nina uhakika ukijitunza Mungu atakusaidia utapata Mume bora, sio ujitunze halafu unaenda utoa usichana wako kwa rafiki wa kiume badala ya mume, hapo lazima ukutane na kimeo labda itokee
 
Back
Top Bottom