Kwa wanawake wanaojua thamani zao

Kwa wanawake wanaojua thamani zao

Nimetafakari sana jambo hili

Zamani msemo huu ulikuwa ndo kama sala kwa wazazi kwenda kwa mabinti zao KUJITUNZA

Utaambiwa tunza mwili wako ni heshima mumeo akikukuta bado bikra
Sasa inakuwaje binti kajitunza alafu maskini anakuja kuambulia mume mpenda michepuko ama mume anaemfanya akose raha ya maisha
Je kuna sababu ya kujichunga hivyoooo alafu uje uagukie pua:what: karibuni miss neddy preta Masai Dada bila kumsahau Lara 1 na Evelyn salt

two wrongs dnt make a right
 
majukum ndo maaana nimechelewa leo kunako hili tukio la muhim

SIKU Hizi watoto wanaambiwa soma sana uwe mama fest ledi hawajui hata historia yake kaunga sana

ki ukweli hilo neno limeekuwa adimu sana kutokana na mazingira kubadika na hata kama ukiambiwa halitekelezeki

HIVYO BASI KUTOKANA MA ISSUE YENYEWE HAIONGELEWI WATU MNAKUTANA WOTE KANJANJA MMOJA GUME MWINGINE GUBE

ZAMANI ILIKUWA INAONGELEWA MAANA WATOTO WALOTEKELEZA NA UKQELI NI KWAMBA HAWAKUKUTA GUBE
 
Jiachieni wadada, maisha yenyewe ni hayahaya, zijue raha za dunia, ukija kuolewa ndiyo unatulia. Napenda mwanamke aliyepitia mambo mengi, kwani machache asiyoyajua.
 
Mmmh kuuziwa mbuzi kwenye gunia unaweza ukakuta issue kama ya punda sijui utatokea mlango gani... (mie team kibamia!). Au unakuta antenna hainasi mawimbi....
 
za kutwa??upo poa?nimemis mambo ya cologine(sijui nimepatia spelling) shost natamani angetaja yake

Dear hivi sikukwambia eeh....OK ni hizi.
Rose anonyme by Atelier
Flower by kendo
Elle by YsL
Absolutely irresistible
The last three are my favs.
 
Dear hivi sikukwambia eeh....OK ni hizi.
Rose anonyme by Atelier
Flower by kendo
Elle by YsL
Absolutely irresistible
The last three are my favs.

ukuniambiaga,thanx naserve hii page,ila nilipata chris adams moja yenye package nyeupe for women nzuri sema kalii mmh naashindwa kabisa

unajua napenda zile polee kabisa
 
Stay pure until you get married because God wants it that way, and this should go both ways regardless of gender.

Not because our parents say so, and certainly not because of any man.
 
Ila wanawake wa kibongo wengi wana AKILI ndogo sana especialy ya maisha...so uachie k watu wapige iwe kama korongo kisa unataka kuwa bad girl na unawita washamba wenzako wakuunge mkono..kwani ukijitunza unafikiri kuna mtu anafaidika..?!
 
Nimetafakari sana jambo hili

Zamani msemo huu ulikuwa ndo kama sala kwa wazazi kwenda kwa mabinti zao KUJITUNZA

Utaambiwa tunza mwili wako ni heshima mumeo akikukuta bado bikra
Sasa inakuwaje binti kajitunza alafu maskini anakuja kuambulia mume mpenda michepuko ama mume anaemfanya akose raha ya maisha
Je kuna sababu ya kujichunga hivyoooo alafu uje uagukie pua:what: karibuni miss neddy preta Masai Dada bila kumsahau Lara 1 na Evelyn salt
Ila wanawake wa kibongo wengi wana AKILI ndogo sana especialy ya maisha...so uachie k watu wapige iwe kama korongo kisa unataka kuwa bad girl na unawita washamba wenzako wakuunge mkono..kwani ukijitunza unafikiri kuna mtu anafaidika..?!
 
tatizo wengi tuliojitunza huwa tuna kosa experience kujua ni yupi mtu sahihi na kwenye mapenzi kuna vitu vingi vya kuangalia likiwemo life style sasa wale wasiojitunza wanakuwa na experience na kuchagua mtu anayeweza kuendana naye lakini sisi huwa tunachukua yule wa kwanza kumbe ndo huwa ana kasoro mpaka basi mwishowe huwa tunaishia kujuta.
 
Back
Top Bottom