wifi!upogo? hajambo kivuruge Saint IvugaAsante kwa kutukumbusha
kumbe !sikua najuaVzr sana ushauri mwanana lakini kipengele cha kupiga pasi chupi eti mnauwa wadudu si kweli wale wadudu wanakufa Kwa miale ya jua tu kwahyo ukianika nje hata bila kupiga pasi ni sawa ila ukianika ndani alafu upige pasi unajidanganya.
Mmmhhhh naomba nikunuse nijue hyo "dolorant sijui''inanukiaje`Nimekaa na kuwaza nikaona si vibaya kukumbushana na kuelimishana juu ya kutunza nguo zetu za ndani,
~Inajulikana kuwa nguo za ndani ni muhimu kuvaa zile zinazonyonya jasho kwa wepesi zenye matirio ya pamba,yaan hata kama wewe ni mvaaji wa bikini pendelea kuchagua za cotton
~ Fua nguo zako za ndani kwasabuni ya unga ,nahisi sabuni za vipande kama zinafifiisha mng'ao (epuka kuloweka chupi zako kwa zaidi ya siku moja hufifisha mng'ao) jitahidi kutumia STA SOFT kwa kusuuzia !
~Anika chupi zako nje kwa raha zote !achana na maisha ya kuanikia machupi bafuni pishana na mafungus na maUTI
~ piga pasi chupi zako upatapo nafasi
~ Pendelea kuziweka nguo za ndani kwenye droo na utupie na udi mzuri au weka deodorant ifungue inakuwa inakaa humo.
#ng'wanambitiyaza
Mmmhhhh naomba nikunuse nijue hyo "dolorant sijui''inanukiaje
Tecno Lodge iko powa sana 30 bei. Nyingne ulizia ulizia utapataMambo zenu naulizia lodge nzuri sinza kwa 20,000 yenye ac,pasafi,kuwe na heater na maji ya kutosha.
Kachupi angalau katoe harufu flani ivi ya shahawa kanaleta mzuka xo kachupi kasafiiii hakana ata harufu ya jasho utafikiri anavaa mdori