Aiii simpi, kwani kunitoa bikra ndio kawa owner wa my papuchino?? Tena namtoa baru hathubutu tena kujileta nyambaafu!! Ukiondoka umeondoka na nakusahau hakuna kurudi.
Kwanza hata aliyenibikiri simkumbuki sijui ni nani vile!!!
Hahahaaaa! Kwenye hayo mambo tunawadanganyaga na mengi hata usijiaminishe, nakumbuka nishawahi kumdanganya mmoja kuwa yeye boonge la master kitandani kumbe hamna kitu kabisaaaa, akajiona boonge la mtu kumbe hovyo kabisa. Huyo anakufarijigi tu.
Nuh! Wala sijaumia. Sijasema na huwa sisemi chochote offensive/dis-respectful against any woman. If it helps, Mama yangu, shangazi, na wanawake wote naowapenda pia ni ma-dame ndio. I just learned another important lesson. It was a nice discussion.