Hahaha. Kumbe we mkatili eh? Lengo la kudanganya huwa ni nini?
Ye hakunidanganya. Ma-dame wa kibongo ndio nadhani baadhi mnapenda kudanganya. Besides, i'm a scorpio, i read people.
Salt Utampa Mana Kakufanya Uwe Safi Wakija Wadau Wanatelezer
Jipe moyo.......
Kwahiyo na mama yako ni "dame" au yeye dame wa wapi?
haha tumefika huku? never saw it coming. My bad, yaishe.
Safi, kumbe inauma eeeh!! Sasa kwann uite wenzio dame!!! Safi kama umeligundua hilo.
Waoo Achen Utan! Mtu Atoe Seal Afu Umtose Game?
I'm sure na ye kakudanganya mengi na we unajichekesha tu!!!Hahahaaaa! Kwenye hayo mambo tunawadanganyaga na mengi hata usijiaminishe, nakumbuka nishawahi kumdanganya mmoja kuwa yeye boonge la master kitandani kumbe hamna kitu kabisaaaa, akajiona boonge la mtu kumbe hovyo kabisa. Huyo anakufarijigi tu.
kwa taarifa yako wengiwaliokuwa wa kwanza kukata utepe ndio huchukiwa zaidi........ maana hakukuwa na utamu wowote.... kichungu hakikumbukwi
kwani wanaishia kukata utepe na kuondoka tu, si kuna machi hua zinaendelea baadae... pale ndo pakusahaurishwa maumivu na kushikwa masikio
I'm sure na ye kakudanganya mengi na we unajichekesha tu!!!
hahah nnasikitika kukwambia sio boooooooooonge la dili
BADILI TABIA, Heshima kwako! Natumaini yangu kuwa yupo ambae atatupa jibu. Hivi wanadhani bikira inatolewa tuuu and then unajipiga kifua kuwa umeitoa? Shame on a man who thinks that!!!:A S 112: Umeitoaje ndio mpango mzima? Kuna utaalam wake ati!! Yaani eti kisa uliitoa basi kila ukija unajisevia? HalaHala nsije kukufurumusha na panga....Hivi wanaume mnadhani kutoa bikira ni booooooooooooooooooonge la dili eeeh?????
Salute My Brother!!! :clap2:Kimsingi, mwanamama yeyote mliyewahi na mahusiano yaliyotawaliwa na furaha zaidi ya karaha, na mkaachana katika mazingira mazuri. Mara nyingi sana kunakuwa na nafasi za throwback. Haijalishi ulifungua wewe ama lah.
So fellas, that's the trick. Treat your women right, always.
Jamani lakini usinifanyie hivyo mwenzako, nimekimbia lile jukwaa kule maana ni full headache, nikaamua kuja huku! my MMU mode is activated please ooooh!Mi nikajuwa unauliza ni nani atampigia Lowassa kura.
Ha ha ha. Tobaaaaaa! Sasa pata picha mwenyewe aliko huko anajitapa kuwa alimtoa binti bikra kumbe mhusika wala habari hana!!!Mi hata simkumbuki