Kwa wanawake tu

Alvin A.

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2016
Posts
2,865
Reaction score
3,640
Habari wanadada wa Jukwaa hili pendwa,

Twende kwenye mada moja kwa moja tusichoshane,


Wanawake wengi hupoteza Wanaume wa maana kwenye maisha yao au kuvunja mahusiano yao kwa kuendekeza mambo ya mjini.
________________________

Unakuta mwanamke anaheshimiwa, anapendwa, anahudumiwa kwa kila kitu mbaya zaid mwanamke hana hata shughuli inayomkeep busy zaid ya kushinda mitandaoni, Lakini anashindwa kujituliza kwa kuendekeza mashoga wa mjini, wakat maisha yake tu mwenyewe ni sonona, anatafta umaarufu kisa kasifiwa wewe mzuri.
__________________________
Usijitape utadhani dunia yote yako. Usijivunie uzuri wa sura, Usione anakuhangaikia sasahivi wakati penzi lipo on 🔥 ukadhani ndio miaka yote atakuwa hivyo.
Angalia usijisahau, iko siku huwa wanabadilika hao, hutoamini macho yako wakati anakujibu majibu makali na kukutelekeza akienda kwa wengine, tena wenye sura mbaya za ajabu tu wakati wewe uliyejifanya malaika wa urembo unatapa tapa kujitembeza.
________________________
waulize unaowajua walio wazuri kuliko yoyote,
muulize mmoja "mume wako yuko wapi?" au boyfriend wako yuko wapi? utaskia majibu yake.
_________________________
Sura zimewashuka, wamepauka kwa machozi ya kila siku. Mwanaume yuleyule aliyekuona malaika akakutangaza kila sehemu kwamba amekupata malkia, ndio leo anakutelekeza pembeni utadhani hakuwahi kukujua.
________________________
Sura hailiwi jamani. Ingekuwa inaliwa ingewekwa kwenye friji. Tafuta kupendwa kutokea moyoni, usitafute kutumiwa kwa ajili ya sura au umbo. Kuna watu walifanikiwa kutokana na sura au maumbile yao Lakini sio wewe, zama zimebadilika.



Povu ruksa



View attachment 1257771
 
Sawasawa umeeleweka...kwamba akikuacha ww mwanamke utachina na kidharaulika sana...had nzi watakudharau ..ujumbe murua kbs!
 
Sijasoma ulichoandika,macho yangu yameishia kuangalia hilo paja la bibiye katika picha.Mtoto ana paja tamu sana kwa shughuli yetu ya kikubwa!!
 
Mtoa mada toa hiyo picha watu wajikite kwenye mada na sio picha[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
————————————_________——————————
 
Chamsingi kwangu ni hiyo picha kwenye kochi mengine sina habari nayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…