Chukulia ya kwamba wewe ni mama wa watoto 5, mtoto wako wa 1 yupo chuo na wa mwisho hata kuongea bado, na unampenda mumeo(mmefunga ndoa). Cku moja ukaja kugundua ya kwamba mumeo miaka 16 iliyopita alitoka nje na mtoto aliepatikana yupo mpaka sasa hv pamoja na *****.
Je, utakua hatua gan dhid ya mumeo ukiangalia miaka ya nyuma uliangaika sana juu ya mumeo. Hebu toa maon yako ungekuwa wewe ndio mama ungefanya nn, kumuacha mumeo au? Mwaga manyanga yako hapa
naona mleta mada ana chembe za ukatili. maana kama vile kachukia huyo mto kuwa hai na anaishi na mama yake.Wala hata usiumize kichwa,samehe na maisha yaende,kwani hubby bado ana date na huyo mwanamke? kama sivyo endelea na ndoa yako,pia usiwe katili kwa huyo mtoto wacha ahudumiwe kama hao wa kwako,
naona mleta mada ana chembe za ukatili. maana kama vile kachukia huyo mto kuwa hai na anaishi na mama yake.
Work online and earn up to $1100 guaranteed per week through telexfree.
Be free to call and ask how it operates!
0714443969