kwa wanavyuo...

Feb 16, 2016
7
2
naomb kufaham uwepo wa kozi ya "foundation" kwa chuo cha DIT ama IFM ambayo inamruhusu mwanfunzi kuanza certificate kama hakutimiza pass znazohitajik yan atasoma masomo ya form 4 machache kwa muda mfupi hapo chuoni na kupata chet.....kama kuna chuo tofaut na hicho napenda kufahamu pia.
 
IT ya DIT inahitaji aliyefaul O level Mathematic na Physics, na wanatoa Diploma na Degree(Conputer Engineering) na IT lakini vigezo vyao ni hayo masomo uwe umeyafaulu
 
naxhukur kujua hilo bt huyu kijana amesoma arts na ana pass 2 tu yani "C" na "D" vp ataweza kwenda chuo gan akaxoma
 
Kuna chuo cha utumishi cha magogoni wanatoa kozi za certicate,ajaribu hata huko hatakosa nafasi
 
Back
Top Bottom