Kwa Wanaume

Nadhani kazi za nyumbani anazozungumzia ni kama kurekebisha vitu vidogo vidogo, kusimamia fundi, kumwagilia bustani, kufyeka nyasi, nk sio kupika, kuosha vyombo, kufua, kudeki nyumba..
Amesema umsaidie mkeo kazi za nyumbani. Maana yake kupika, kufua, n.k. tena mbele ya watoto.
 
Jiji la matajir halinaga lon golongo tafuta pesa chasin your dream hizo zote ni porojo
 
1. Haijalishi mkeo anafanya kazi na anapata pesa au hafanyi kazi, jukumu kumtunza yeye na familia yako ni lako wewe mwanaume.
Mwanamke anaenda kazini kwa maana hiyo hayupo nyumbani kutimiza yale majukumu yake ya asili, hapo hapo kipato chake kisijumuishwe kwenye bill za familia, sasa huyo mke ana output gani kwenye ustawi wa familia.

Kitendo cha mtu kuwa na kazi maana yake automatically anaondolewa kwenye kundi la watu tegemezi. Kama mtu ana kazi halafu hapo hapo audumiwe mahitaji yake hiyo kazi yake ni ya nini sasa?
 
9. Siku moja moja pata muda wa kufanya shughuri ndogo ndogo za nyumbani, msaidie mkeo kazi za nyumbani mbele ya watoto wako hasa wa kiume, hapa utakuwa unatengeneza wanaume bora kwa wake zao huko mbele.
Kazi gani unazoziongelea hapa? Kama ni kupika, kuosha vyombo, kukuna nazi izo hapana
 
Kanuni zipo, kuacha kanuni ndiko kumetufikisha hapa tulipo, pa kulaumiana tu!
Fikra za ki feminists!!

Fikra za kutufanya ma grader ya jamii au tambara la deki!

Hizi ndizo zinaua jamii yenye afya na ustawi!!

Fikra za mleta mada hazina mashiko Wala haziwezi leta jamii yenye ustawi kama anavyodhani!!

Sisis ni zao la mababu na mabibi waliokua wachapakazi Kwa ajili ya familia bila kujali jinsia!walifanya KAZI kama nyuki kulima,kuchunga,kukamua maziwa kupasua kuni n k na Bado jamii iliheshimiana na kiongozi aliheshimika kama kiongozi!!

Huu mgawanyo wa majukum was hapo beijing ndio umetuletea shida Leo hii!!

Nenda kamsome mwanamke wa mithali 31 halafu fananisha na hicho kituko Cha mleta mada!!!

Theory za leo za mahusiano na ndoa hazijasaidia jamii Bali zimekuza ubinafsi na magonjwa yasiyoambukiza kama kisukari na presha!

Mimi zao la utoto wa zamani ambapo mama alibeba kuni na baba akabeba gogo Kwa matumiz ya nyumbani!

Baba na mama walikamua maziwa na kuchunga Ng,ombe na kulima pia!
 
Nifanye yote hayo nimekuwa AI au.?
 
Mzalendo toka Uandamane kupinga uonevu wa Lisu
Napambana mnoo Kamanda ✌️✌️✌️
Vituo vya Polisi Mburahati, Magomeni, Mwinyijuma, Oystebay nishalala sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…