mkamate mama akee mbane vze atakuwa anajua chanzo!!!, wamama wengi wanatabia mbayaa saana, nakumbuka kipnd nko moro kuna bint wa 4m 2 nlikuwa natembea nae ila kwa sapport kubwa kutoka kwa mama akee, nakumbuka siku moja nlimkuta mama ake njee akanambia nrudi kwanza baba yake bado hajalala, 90% ya mabint mama zao huwa wanachangia tabia mbovu kwa kutoanza mapema kukemea tabia mbaya zinavoanzaa, NB; kikamate kivulana kimoja na huyo bint yako, wale mboko asubuhi mpaka jion , na hilo zoez liwe ni endelevu atanyooka tuu