Ikiwa umeoa miaka kadhaa iliyopita na mkeo akazaa watoto kadhaa nawe kama baba ukawapatia mahitaji ya elimu, chakula, afya na malazi kama kawaida. Baadae kupitia DNA ukagundua sio watoto wako. Je utafanyaje? Utendelea kumtunza "mke wenu" na watoto?
Nitauangalia u.u.me wangu kwa mshangao.
Nitauangalia u.u.me wangu kwa mshangao.
Hebu taja sababu iliyopelekea hadi upime DNA...
Naona sina cha kusema kwani hayo majanga,Kuna jamaa mmoja mwanza nae alikua dungadunga akawa na watoto wengi tu siku ya siku akawazoa woote kaenda bugando kupima DNA results zilivyotoka ni watoto wawili tu out of eight ni wake akawaambia jamanii mrudi kwa mama zenu mimi msaada wangu umeishia hapa ilikua majanga,kwahiyo it is not the easy situation to decideIkiwa umeoa miaka kadhaa iliyopita na mkeo akazaa watoto kadhaa nawe kama baba ukawapatia mahitaji ya elimu, chakula, afya na malazi kama kawaida. Baadae kupitia DNA ukagundua sio watoto wako. Je utafanyaje? Utendelea kumtunza "mke wenu" na watoto?