Kwa wanaume walio owa


Me loving this sanaa!..Mzee DC mwenyeweee!
 
bora umeltambua. Nymba ndg zna watu wake na lazma uwe na mpunga mref. Utakua unaiba kwa miguu? Loh
 
4. Mungu ameharamisha zinna. Kama unajiamini kuwa una uwezo kimwili na kimazingira bora uowe wa2, wa3 au wa4. Lakini kwa kumogopa mungu owa mmoja na huu ndiyo uchamungu.
 
Ni dawa ya pressure aisee.

Yani tena usirudie, mshukuru Mungu kwa kukupa hiyo akili, kimbia sana katunze mkeo na wanao, yani usiangalie nyuma usijegeuka mnara wa chumvi na Mungu atakusamehe, ila ndo hivyo ukirudi ndo mwisho wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…