Usiseme hivyo mkuu kuna majaribu yanakukuta unajiuliza Mungu yuko wapi sasa????Mkuu hili haliwezi kutokea kwa muda mmoja. Mungu huwa anahuruma sana anajua kupangilia matatizo. Mungu ana huruma sana ujue
Tatizo lako upendi upande wa ndugu za mwanaume,wazazi wake wamemsomesha ww amekuoa unataka asiwape ndugu zake ela.mi nampa kwanza ndugu yangu mke baadaeKwa wanaume mlio oa,
Nina kaswali kadogo tu
Mfano ukiwa senti 50 ikatokea ...Dada ako au ndugu yako yoyote tu akawa na shida na hiyo 50 at the same time mke wako nae akapata shida inayoitaji iyo 50 utampa nani?
Au
Ikatokea ndugu yako mgonjwa na mkeo mgonjwa we upo mbali nao utenda kumsalimia nani? Au
Una kitu haukitumii akaitaji mkeo na ndugu yako yoyote utampa nani?
Naomben mnisaidie majibu nyie mlio oa
Kwa comment hii hujaoa bado kijana weweInategemea na ndugu na kama nikiona wote wana umuhimu na uhitaji sawa basi nita divide hela nusu kwa nusu kisha niende kutafuta nyingine.
Ona huyu nae sijui katokea wp...kwa taarifa yako tu Mimi in ndugu wa mume na nilikua na mawazo kama yakoTatizo lako upendi upande wa ndugu za mwanaume,wazazi wake wamemsomesha ww amekuoa unataka asiwape ndugu zake ela.mi nampa kwanza ndugu yangu mke baadae
Ona huyu nae sijui katokea wp...kwa taarifa yako tu Mimi in ndugu wa mume na nilikua na mawazo kama yako
Labda kama kaomba mama au baba,lakin ndugu tu mweee wanisamehe
Ndugu hawa heheAha na wahivyo ndugu na yeye akipata shida asinisumbue
Kuna wakati inakubidi hata isipokuwa kwa faida yako au laNdugu hawa hehe