Kwa wanaume walio oa tu

Mke..Mke ndio kitu cha kwanza hao ndugu wasubiri nikipata nyingine
 
sent 50? unajiuliza? si unampa tu halafu unaenda kutafuta buku
 
Ulishaambiwa Utamwacha baba na mama mtaungana utakuwa kitu kimoja na mke wako, sasa je kuna mtu anachukia mwili wake? Mke ni second part yako. ukitoka wewe basi ni mke, then hao wengine wanafata
 
Kuna kitu kinaitwa PRIORITY [KIPAUMBELE]......Hapo itabidi uapply prioritization.
Mke wako anaweza akawa anashida na 50k lkn ni kwa ajili ya kununua nguo, ndugu yako labda anahitaji hiyo 50k kwa ajili ya matibabu. Hapo automatically ndugu atapewa kipaumbele.
Km watakuwa na shida inayofanana basi utampa kipaumbele mke wako wakat ukiendelea kumfanyia mchakato huyo ndugu mwingne.
 
Wala hii haiitaji kuwa lazima uwe umeoa. Jibu sahihi ni kupima uhitaji wa lazima sana upo wapi. Yani nani tatizo lake lina umuhimu zaidi wa huo msaada kuliko mwingine. Sawa wote wamehitaji ila sababu za uhitaji wao zinatofautiana.

Tofauti na hapo, mke au mume wako ndio anatakiwa awe priority kwenye kila kitu then wengine wanafuata.
 
Mi naona wanaume nao wapewe mafundisho kabla kuingia ndoan
 
Mkuu hili haliwezi kutokea kwa muda mmoja. Mungu huwa anahuruma sana anajua kupangilia matatizo. Mungu ana huruma sana ujue
 
Mkuu hili haliwezi kutokea kwa muda mmoja. Mungu huwa anahuruma sana anajua kupangilia matatizo. Mungu ana huruma sana ujue
Mpaka kuliweka hapa inamaana limetokea zaidi ya Mara 1
 
Hivi mwanaume kamili uwe ni 50 bob tuu......????? japo kiukweli mke mtamu na ndio anakuzalia wana.....ila ntahaikisha wote wanapata kama ni tiba kwa style yake kila mmoja.....damu nzito kuliko maji.......tuwe wa kweli katika hili...
 
Dadako ana mumewe anahangaike kama ajaolewa atakua na kadanga
Your wife comes first!
 
Mkuu hili haliwezi kutokea kwa muda mmoja. Mungu huwa anahuruma sana anajua kupangilia matatizo. Mungu ana huruma sana ujue
Usiseme hivyo mkuu kuna majaribu yanakukuta unajiuliza Mungu yuko wapi sasa????
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…