Wanawake mna taabu sana ukiwa mke utataka upewe wewe na uyafurahi kinoma sana ukiwa unayimiziwa shida zako mwafaka lkn ukiwa WiFi kaka yako akimtimizia WiFi yako utasikia amefanyiwa madawa kaka na yule mwanamke yaani anamjaali mpaka nyumbani kasahauKwa wanaume mlio oa,
Nina kaswali kadogo tu
Mfano ukiwa senti 50 ikatokea ...Dada ako au ndugu yako yoyote tu akawa na shida na hiyo 50 at the same time mke wako nae akapata shida inayoitaji iyo 50 utampa nani?
Au
Ikatokea ndugu yako mgonjwa na mkeo mgonjwa we upo mbali nao utenda kumsalimia nani? Au
Una kitu haukitumii akaitaji mkeo na ndugu yako yoyote utampa nani?
Naomben mnisaidie majibu nyie mlio oa
[emoji106]Ulishaambiwa Utamwacha baba na mama mtaungana utakuwa kitu kimoja na mke wako, sasa je kuna mtu anachukia mwili wake? Mke ni second part yako. ukitoka wewe basi ni mke, then hao wengine wanafata